|
RC
Makala akitoa maelekezo kwa mkuu wa wilaya ya Moshi,Makunga baada ya
kupata maelezo toka kwa mmoja wa wagonjwa katika hospitali hiyo namna
alivyojeruhiwa . |
|
Mkuu
wa Mkoa wa Kilimanjaro Amos Makala akisalimiana na wafanyakazi wa
Hospitali ya Rufaa ya Mawenzi mara baada ya kuwasili kwa ajili ya
kutembelea idara mbalimbali hospitalini hapo. |
|
Mkuu
wa Mkoa wa Kilimanjaro,Amos Makala akitia saini katika kitabu cha
wageni maara baada ya kuwasili katika hosptali ya Rufaa ya Mawenzi
mkaoni Kilimanjaro. |
|
Mganga
mkuu wa mkoa wa Kilimajaro Hajati, Dkt Mtumwa Mwako akifanya
utamburisho wa watumishi wa hosptali hiyo katika ukumbi mdogo wa
mikutano hospitalini hapo. |
|
Baadhi ya watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Mawenzi ya mkoani Kilimanjaro. |
|
Mkuu
wa wilaya ya Moshi ,Novatus Makunga akizungumza jambo katika kikao cha
mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro ,Amos Makala na watumishi wa Hopstali ya
rufaa ya Mawenzi. |
|
Mganga
mfawidhi wa Hospitali ya rufaa ya Mawenzi Dkt ,Bingilaki Rwezaula
(kushoto) akiwa na watumsihi wengine wa hospitali hiyo. |
|
Katibu
wa Hosptali ya Rufaa ya Mawenzi ,Boniface Lyimo akisoma taarifa ya
hospitali hiyo kwa Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Amos Makala (hayupo
pichani) |
|
Baadhi ya wakuu wa vitengo mbalimbali katika hospitali ya Rufaa ya Mawenzi ,mkoani Kilimanjaro. |
|
Mkuu
wa mkoa wa Kilimanjaro,Amos Makala akizungumza na watumishi wa Hopstali
ya Rufaa ya Mawenzi mara baada ya kutembelea hosptali hiyo. |
|
Badhi ya watumishi katika hospitali hiyo. |
|
RC Makala akizunguza na watumishi. |
|
RC Makala akizungumza na mmoja wa wzee waliofikisha wagonjwa wao katika hospitali ya Mawenzi. |
|
RC
Makala akizungumza na mmoja wa wauguzi katika hospitali hiyo,kushoto ni
mganga mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Hajati,Dkt Mtumwa Mwako. |
|
RC Makala akiwajulia hali wagonjwa waliofika katika hospitali hiyo kujipatia huduma ya matibabu. |
|
Mganga
Mfawidhi wa Hopstali ya Rufaa ya Mawenzi,Dkt Bingilaki Rwezaula
akimuelekeza maeneo mbalimbali mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro ,Amos Makala
alipotembelea hospitalini hapo. |
|
RC Makala akizungumza na mmoja wa wazee waliofika katika hospitali hiyo kupata matibabu. |
|
RC Makala akitizama hali ya wagonjwa katika hospitali ya rufaa ya Mawenzi. |
|
RC Makala akitembelea kitengo kinachoshughulika na bima ya afya. |
|
RC Makala akizungumza jambo na mkuu wa idara ya Bima ,Dkt Saganda katika hospitali hiyo. |
|
RC Makala akizungumza na mmoja wa wagonjwa waliopo katika hospitali hiyo. |
|
Wodi ya kina mama. |
|
RC Makala akisalimiana na mmoja wa wauguzi wa zamu katika hospitali hiyo. |
|
RC Makala akizungumza na mmoja wa wagonjwa waliolazwa katika wodi ya kina baba. |
|
RC Makala akizungumza na madkarai wa zamu katika hospitali ya Mawenzi. |
|
RC Makala akimsikiliza mmoja wa wagonjwa waliolazwa katika wodi ya Majeruhi katika hospitai hiyo. |
|
RC
Makala akitoa maelekezo kwa mkuu wa wilaya ya Moshi,Makunga baada ya
kupata maelezo toka kwa mmoja wa wagonjwa katika hospitali hiyo namna
alivyojeruhiwa . |
|
RC Makala akitoka katika wodi ya wagonjwa wa akili hosptalini hapo. |
|
RC Makala akiwa katika wodi ya watoto katika hospitali ya Mawenzi. |
|
RC Makala akitembelea jengo jipya la wodi ya wazazi linalojengwa katika hospitali hiyo. |
|
RC
Makala akiondoka katika hospitali ya rufaa ya Mawenzi mara baada ya
kutembelea idara mbalimbali hospitalini hapo kujionea namna huduma
zinavyotolewa.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini. |
on Monday, November 16, 2015
Post a Comment