Jarida la Forbes
wameitambulisha hii list leo November 04 2015, na unaambiwa majina haya
10 ndio yameonekana kuwa na nguvu kubwa zaidi ya kukubalika Duniani.
Kabla ya kuitambulisha list, Forbes
walifanya kazi ya kutafiti vitu vingi sana ikiwemo kuangalia mtu huyo ni
kiongozi wa watu wengi kiasi gani, utajiri wake, anakubalika kiasi gani
na anatuamiaje nafasi aliyonayo?
Hapa ni majina kuanzia wa kwanza mpaka wa mwisho
mtu wangu.- Vladimir Putin — Rais wa Russia
-
Angela Merkel – Chancellor wa Ujerumani
-
Barack Obama — Rais wa Marekani
-
Pope Francis – Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani
-
Xi Jinping – Rais wa China
-
Bill Gates — Boss wa Kampuni ya Microsoft
-
Janet Yellen – Mtaalam wa masuala ya Uchumi Marekani
-
David Cameron —Waziri Mkuu wa Uingereza
-
Narendra Modi – Waziri Mkuu wa India
-
Larry Page – Boss wa Kampuni ya Google
Post a Comment