Hatimaye
aliyekuwa mgombea ubunge kwa tiketi ya chama cha Chadema jimbo la
Kahama mjini Mh.James Lembeli amefungua kesi katika mahakama kuu kanda
ya Shinyanga kupinga matokeo ya kura za ubunge jimboni hapo katika
uchaguzi mkuu uliofanyika tarehe 25 mwezi wa kumi mwaka huu.
on Tuesday, November 24, 2015
Post a Comment