Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Japo hawapo tena pamoja, hizi ndio 3 za Mr. Blue anazozizimia Naj

Kama upo kwenye upo social media basi wiki hii utakua umeona sana poster ya Najma kwenye kurasa za watu mbalimbali kwamba Naj anatoa video mpya leo Ijumaa November 20. Video hiyo inaitwa “No Going Home” ambayo ameifanyia kwenye location za London ambapo anaishi.

Najma akipiga story na website hii alitakiwa kutaja nyimbo tatu ambazo yeye anazipenda na Mr Blue ameshiriki ndani ya hizo nyimbo. Majibu yake yalikua kama hivi, Ya kwanza ni Don’t Let Me Go ambao ni wimbo wangu wa kwanza na nilimshirikisha yeye kwa hiyo naipenda sana na alifanya vizuri. ya pili ni tabasamu….. ni wimbo mkali na video yake ndio ilikua watu wananiona mimi kwa mara ya kwanza kwenye music video’
naj2
So, ilikua kama utambulisho wangu kwa wapenzi wa bongoflava nyingine ni pesa, napenda beat yake, mistari yake na flow pamoja kila kitu kilichoimbwa ndani yake‘ – Naj
Mr Blue hivi sasa anaendelea na maisha pamoja na familia yake ambapo ana watoto wa wawili na mama yao Wahida, huku Najma pia akiendelea na maisha yake jijini London na muziki kama kawaida anaendelea kufanya.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top