Mkurugenzi Idara ya Uratibu wa maafa Ofisi ya Waziri Mkuu, Brig. Mbazi Msuya (wa katika) akieleza jambo kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Saidi Meck Sadiki (wa kwanza kushoto) na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Dkt. Florens Turuka (wa kwanza kulia) wakati wa ziara ya kukagua mtaro uliojengwa eneo la Buguruni kwa Mnyamani.
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Dkt. Florens Turuka (wa kwanza kulia mwenye miwani) pamoja na Mkuu
wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Saidi Meck Sadiki wakiangalia hali ya
daraja la Buguruni Visiwani walipofanya ziara ya maeneo yaliyoathiriwa
na ugonjwa wa kipindupindu.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Post a Comment