Loading...
MANENO MAZITO YA DR. MAGUFULI KWA JK NA CCM
...."Rais wangu, Mwenyekiti wangu Jakaya Kikwete utanisamehe kwa hatua nitakazozichukua kwa watu uliowalea wakati wa utumishi wako, na hawa ndiyo waliokukwamisha. Watu wanafanya kazi kwa mazoea. Wengine hawajali kabisa mahitaji ya wananchi, wanaofika kwenye ofisi wanavyotaka. Utanisamehe Rais wangu, hawa ndiyo waliokukwamisha. Kwenye serikali yangu wajiandae kuondoka. Nimegundua wengi wana matumaini makubwa sana na mimi. Binafsi, ninauona ugumu wa kazi iliyo mbele yangu, lakini nitaifanya na nafahamu kuwa nitagusa maslahi ya wengi, hivyo wajiandae,"....
John J.P Magufuli.
©Mwananchi, Oktoba 31, 2015
Post a Comment