Kibanda
cha kitakachotumika wakati wa kuapishwa kwa Rais Mteule, Dk John
Magufuli kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kesho kutwa kwenye
Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA
WA MATUKIO BLOG
Askari
wa Jeshi la Wananchi akiigiza kama Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini,
Jenerali Davis Mwamunyange na mwingine akiigiza kama Rais anayemaliza
muda wake, Jakaya Kikwete wakati wa mazoezi ya sherehe za kuapishwa Rais
wa Awamu ya Tano, Dk John Magufuli kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es
Salaam.
Mkuu
wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Davis Mwamunyange (wa pili kulia), Mkuu
wa Jeshi la Polisi nchini, Ernest Maangu (wa tatu kulia) na Mkuu wa Mkoa
wa Dar es Salaam, Said Sadick wakipiga saluti ulipokuwa unaimbwa wimbo
wa Taifa wakati wa mazoezi ya sherehe za kuapishwa Rais wa Awamu ya
Tano, Dk John Magufuli kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.PICHA ZOTE
NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Maofisa
mbalimbali wakiwa katika kibanda cha kiapo wakipanga jinsi viongozi
watakavyokaa wakati wa sherehe za kuapishwa Rais wa Awamu ya Tano, Dk
John Magufuli kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.
Kikundi cha sarakasi kikitumbuiza wakati wa maandalizi hayo Wasanii kutoka Zanzibar wakicheza ngoma ya kibati wakati wa mazoezi hayo Mtu aliyeigiza kama Rais Jakaya Kikwete, akiwa amesimama alipokuwa akipigiwa mizinga ikiwa ni ishara ya kuagwa kwa rais huyo kabla ya kuapishwa Rais mpya wa Awamu ya Tano, Dk John Magufuli wakati wa mazoezi hayo. Viongozi mbalimbali wakiwemo wa vyombo vya ulinzi na usalama wakiwa Jukwaa Kuu wakati wa maandalizi hayo. Baadhi ya wananchi wakiwa wamesimama wakati wimbo wa Taifa ukipigwa na Bendi ya Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) wakati wa maandalizi hayo. Mtu aliyeigiza kama Rais Jakaya Kikwete, akielekea kukagua gwaride la heshima la kumuaga wakati wa mazoezi hayo.PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG

Post a Comment