Waziri
Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa akizungumza na Mke wa Rais Mstaafu
wa Awamu ya Nnne , Mama Salma Kikwete katika hafla fupi iliyoyofanyika
kwenye viwanja vya Bunge mjiniDodoma baada ya Rais John Magufuli
kuzindua Bunge Novemba 2015.
Rais
Mstaafu wa awamu ya nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Waziri Mkuu,
Kassim Majaliwa Kassim wakizungumza na baadhi ya wabunge na waalikwa
waliohudhuria hafla fupi iliyofanyika kwenye viwanja vya bunge mjini
Dodoma baada ya Rais John Magufuli kuzindua Bunge Novemba 20, 2015.
Waziri
Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa akisalimiana na mbunge wa Mufindi,
Cosato Chumi katika hafla fupi ya kuzindua bunge iliyofanyika kwenye
viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Novemba 20, 2015. Katkati ni Mbunge wa
ROrya Lameck Airo.
Waziri
Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa akizungumza na Spika wa Bunge Job
Ndugai (kushoto) , Mkewe Mary (wapili kushoto) na Katibu wa Bunge Dkt.
Thomas Kashilila (wapili kulia) katika hafla ya kuzindua Bunge
iliyofanyika kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Novemba 20, 2015.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza
jambo na Sophia Simba kwenye Viwanja vya Bunge mjini Dodoma, wakati wa
hafla fupi ya Coktail (Mchapalo) iliyofayika baada ya Rais Magufuli
kulihutubia Bunge jana jioni Nov 20, 2015. Picha na OMR
Waziri Mkuu wa awamu ya
Tano, Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa, akizungumza jambo na Rais staafu wa
awamu ya sita wa Zanzibar, Aman Abeid Karume, wakati wa hafla fupi ya
Coktail (Mchapalo) iliyofayika baada ya Rais Magufuli kulihutubia Bunge
jana jioni Nov 20, 2015 kwenye Viwanja vya Bunge mjini Dodoma
Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na
baadhi ya Viongozi wakati wa hafla fupi ya Coktail (Mchapalo)
iliyofayika baada ya Rais Magufuli kulihutubia Bunge jana jioni Nov 20,
2015 kwenye Viwanja vya Bunge mjini Dodoma
Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akizungumza jambo
na Waziri Mkuu mstaafu, Joseph Warioba wakati wa hafla fupi ya Coktail
(Mchapalo) iliyofayika baada ya Rais Magufuli kulihutubia Bunge jana
jioni Nov 20, 2015 kwenye Viwanja vya Bunge mjini Dodoma.
Rais Magufuli (katikati)
akizungumza jambo na Rais wa Zanzibar, Mohamed Ali Shein (kushoto) na
Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi, wakati wa hafla fupi
ya Coktail (Mchapalo) iliyofayika baada ya Rais Magufuli kulihutubia
Bunge jana jioni Nov 20, 2015 kwenye Viwanja vya Bunge mjini Dodoma.
Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akizungumza jambo
na Mbunge wa Shinyanga mjini, Stephen Masele, wakati wa hafla fupi ya
Coktail (Mchapalo) iliyofayika baada ya Rais Magufuli kulihutubia Bunge
jana jioni Nov 20, 2015 kwenye Viwanja vya Bunge mjini Dodoma
Makamu wa Rais Mstaafu
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza jambo na baadhi ya viongozi wakati wa hafla fupi ya Coktail
(Mchapalo) iliyofayika baada ya Rais Magufuli kulihutubia Bunge jana
jioni Nov 20, 2015 kwenye Viwanja vya Bunge mjini Dodoma
Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akizungumza jambo
na mmoja kati ya wageni waalikwa wa Kimataifa, wakati wa hafla fupi ya
Coktail (Mchapalo) iliyofayika baada ya Rais Magufuli kulihutubia Bunge
jana jioni Nov 20, 2015 kwenye Viwanja vya Bunge mjini Dodoma
Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akizungumza jambo
na Vijana wa UVCCM, wakati wa hafla fupi ya Coktail (Mchapalo)
iliyofayika baada ya Rais Magufuli kulihutubia Bunge jana jioni Nov 20,
2015 kwenye Viwanja vya Bunge mjini Dodoma
Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akizungumza jambo
na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Chiku Gallawa, Spika wa Bunge, Job Ndugai na
Katibu wake, baada ya hafla fupi ya Coktail (Mchapalo) iliyofayika baada
ya Rais Magufuli kulihutubia Bunge jana jioni Nov 20, 2015 kwenye
Viwanja vya Bunge mjini Dodoma.
Post a Comment