Mhandisi wa Kampuni ya
Chico, David Waruma akizungumza leo jijini Dar es Salaam juu ya
kazi ya kusafisha na kuzibua daraja la Mto Msimbazi eneo la Jangwani
kuzuia na kukomesha mafuriko yanayotokea kipindi cha mvua ambayo
huleta athari kwa jamii inayozunguka pamoja na kulinda Kituo cha
Mabasi yaendayo Haraka
(BRT) cha Jangwani (Jangwani Depot), kisiathirike na Mafuriko endapo
yatatokea .
Mafundi wakiendelea
na kusafisha Daraja la Mto Msimbazi
wakiongonzawa na .Mhandisi wa Kampuni ya Chico, David Waruma leo jijini Dar es
Salaam.
Vifaa maalum
kwa aajili ya kusafisha daraja la Mto
Msimbazi jijini Dar es Salaam.
Wananchi
wakitazama daraja la Mto Msimbazi leo
jijini Dar es Salaam.
Muonekano wa Mto Msimbazi leo
jijini Dar es Salaam wakati ukiendelea kusafishwa.Picha na Emmanuel
Massaka wa Globu ya Jamii.
Post a Comment