Rais Dk. Magufuli akitokea katika ofisi ya Mkurugenzi wa MOI.
Rais Dk. Magufuli akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa MOI.
Wananchi wakiwemo wauguzi wakishangilia ujio wa Rais Dk. Magufuli katika Hospitali ya Taifa Muhimbili leo.(P.T)
Rais Magufuli akipata maelezo ya mgonjwa katika wodi ya Sewahaji.
...Akimpa pole bibi aliyelazwa katika wodi ya Sewahaji.
...Akimpa pole mama huyu aliyelazwa katika wodi ya Mwaisela.
...Akizidi kuwapa pole wagonjwa.
Wananchi wakimpungia mkono Rais Magufuli.
Rais Magufuli akimsikiliza mmoja wa wauguzi.
Ulinzi ukiwa umeimarishwa.
Wananchi wakiwa na furaha baada ya ujio wa Rais Magufuli.
Msafara wa Rais Magufuli ukiondoka Muhimbili.
Wananchi wakisindikiza msafara wa Rais Magufuli.
GPL
Post a Comment