Rais
Dkt. John Pombe Magufuli akifanyakazi ofisini kwake Ikulu jijini Dar es
Salaam leo ikiwa ni siku yake ya kwanza ofisini kwake tangu
alipoapishwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa awamu ya
tano.
(Picha na Freddy Maro)
on Friday, November 6, 2015
Post a Comment