Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akifanya
kazi ofisini kwake Ikulu jijini Dar es salaam kwa mmara ya mwisho leo
Novemba 4, 2015 kabla ya kukabidhi madaraka kwa Rais wa awamu ya Tano
anayetarajiwa kuapishwa kesho Dkt John Pombe Joseph Maguful.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akitoka
ofisini kwake Ikulu jijini Dar es salaam baada ya kufanya kazi katika
siku ya mwisho leo Novemba 4, 2015 kabla ya kukabidhi madaraka kwa Rais
wa awamu ya Tano anayetarajiwa kuapishwa kesho Dkt John Pombe Joseph
Maguful.
Post a Comment