Loading...
Home » Unlabelled » BREAKING NEWSSS ... AJALI MBAYA YA MAGARI ZAIDI YA SITA YAGONGANA ... MOJA LAANGUKIWA NA KONTENA
BREAKING NEWSSS ... AJALI MBAYA YA MAGARI ZAIDI YA SITA YAGONGANA ... MOJA LAANGUKIWA NA KONTENA
BREAKING NEWS: LORI LA ANGUKIA DALADALA KATIKA BARABARA YA MANDELA JIJINI DAR
Lori la Mizigo lenye namba za usalili T 493 DBR limepiga mweleka na kuangukia basi la abiria aina ya Toyota DCM lenye namba za usajili T 104 BCT lifanyalo safari zake kati ya Gongo la Mboto mpaka Simu 2000 mapema leo asubuhi katika makutano ya barabara ya Tabara na Mandela, jijini Dar es salaam. Hakuna aliepoteza maisha kwenye ajali hii ila kuna watu kadhaa wamejeruhiwa na kukimbizwa hospitali kwa matibabu.
!Kuna ajali imetokea Buguruni shell ss hv kontena limedondokea daladala
Post a Comment