Mwanamke wa kitongoji cha Buriba, kata ya Sirari, wilayani Tarime,
anayejishughulisha na biashara ya kuuza kibanda cha duka, Sophia Manguye (46), amefanikiwa kuwanyang'anya majambazi watatu bunduki moja aina ya SMG yenye risasi 27, baada ya kupambana nao ndani ya kibanda chake cha biashara.
Alfajiri
1 hour ago
Post a Comment