Mawaziri
wa zamani Basil Pesambili Mramba na Daniel Yona wameripoti leo katika
hospitali ya Sinza Palestina na kukabidhiwa vifaa kwa ajili ya kufanya
usafi.
Mwishoni mwa wiki iliyopita, mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu iliridhia Mawaziri hawa wastaafu kutumikia adhabu ya kifungo cha nje kwa kufanya usafi katika maeneo ya kijamii ikiwemo Hospitali ya Sinza Palestina.

Mawaziri wa Serikali ya AWAMU ya Tatu Mramba na Yona walipowasili leo Hospitali ya Palestine kuanza usafi wa mazingira kama part ya adhabu yao ya kifungo cha nje leo live!!. |
Post a Comment