Mke wa Rais Mama Janeth
Magufuli akimjulia hali Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeiry
aliyelazwa kwa matibabu katika taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete katika
hospitali ya Taifa ya Muhimbili.Pamoja naye ni Waziri wa Afya, Maendeleo
ya Jamii, Jinsia, Watoto na Wazee Mhe Ummy Mwalimu, Mwanasheria Mkuu wa
Serikali Mhe George Masaju pamoja na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi
hiyo Profesa Mohamed Janabi leo Jumatatu February 8, 2016.
Mke wa Rais Mama Janeth
Magufuli akisindikizwa wakati wa kuondoka baada ya kumjulia hali Mufti
Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeiry aliyelazwa kwa matibabu katika
taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete katika hospitali ya Taifa ya
Muhimbili.
Pamoja naye ni Waziri wa
Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na Wazee Mhe Ummy Mwalimu na
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi hiyo Profesa Mohamed Janabi leo
Jumatatu February 8, 2016.
Post a Comment