Loading...
MSAFARA WA RAIS WAPATA AJALI MBAYA .... ASKARI WAWILI WAPOTEZA MAISHA
Katika mkoa wa SINGIDA kuna ajali;ambapo mnamo tar 06/02/2015,saa 15:30hrs gari no.PT 2121 land lover/puma ikiwa na askari wa 5 waliokuwa kwenye msafara wa mheshimiwa raisi lilipinduka mara baada ya kupasuka tairi ya nyuma na kusababisha vifo kwa askari wawili ambao ni(1)INSP MWEGELO wa STPU SINGIDA na no.E.9057 sgt GERALD wa RTO SINGIDA ambaye ndie alikuwa dereva wa gari iliopata ajali pia majeruhi kwa askari 3,ambao ni 1.SP PETER .R.MAJIRA-RTO SINGIDA (2)D.5930 sgt MROPE na F.6547 PC CHARLES wote wa ofisi ya RTO SINGIDA taarifa zaidi inafuata......RPC SINGIDA.
BLOG RAFIKI
-
-
-
Duniani Leo1 hour ago
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
Post a Comment