Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MSANII LULU AZUSHIWA KIFO

lulu..
Msanii maarufu wa filamu Tanzania Elizabeth Michael Maarufu kama Lulu ameujia juu mtandao mmoja wa kijamii ambao ulijaribu kumzushia kifo.
Kupitia akaunti yake ya Instagram Lulu ameandika yafuatayo kuhusiana na taarifa hizo..

Nasikia Nimekufa  Wewe uliyePost hiiKama wewe utakuwepo TUTAONANA TENA 2017 Inshaallah  Alafu jifunze na kuandika ELIZABETH vizuri kwanza
(Niki report LIVE kutoka heaven) This shows how Jina Langu lina KiKinishasema MNIACHE JMNwatsup!??? Kufa ntakufa SIKATAI lkn mpk nimalize MIAKA ILIYOANDIKWA KWENYE BIBLIA

Kama inavyoonekana kwenye picha hapo chini.
lulu
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top