Chama cha Mapinduzi CCM leo kimemtangaza Christopher Ole Sendeka kuwa msemaji mpya wa CCM kuanzia leo.
Sendeka ametangazwa rasmi na Katibu Mkuu wa chama hicho Ndugu Abdulrahman Kinana mbele ya Waandishi wa Habari jijini Dar.
Picha ya chini Kulia ni Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na kushoto ni Katibu Mwenezi wa chama hicho Ndugu Nape Nnauye ambaye kwa sasa Ole sendeka pichani katikati amepewa jukumu la kumsaidia kuwa msemaji wa chama
Post a Comment