Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

UCHAGUZI ZANZIBAR .... Hamad Rashid aanza tambo zake

Mgombea Urais kupitia Chama cha  ADC Mheshimiwa Hamad Rashid ametimiza haki yake ya msingi ya kupiga kura.

Akizungumza na Waandishi mara baada ya kupiga kura katika kituo cha shule ya sekondari  Wawi Kisiwani  Pemba,  Rashid amesema  anauhakika wa kuibuka mshindi wa kiti cha Urais wa Zanzibar.

Amesema kama hatashinda Urais,  basi atakuwa Makamu wa Rais

Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top