Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mpinduzipia Makamo Mwenyekiti
wa CCM Zanzibar Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa tatu kulia)akijumuika na
Viongizi na Waislamu katika kumswalia aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa
wa Kusini Pemba Marehemu Abdalla Mohamed Mshindo katika msikiti wa
Khinani,Wilaya ya Magharibi 'A'Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja leo.[Picha
na Ikulu.]
Maelfu ya wananchi na waislamu waliobeba jeneza la
Marehemu Abdalla Mohamed Mshindo katika mazishi yake yaliyofanyika leo
kijiji cha Kihinani Wilaya ya Magharibi 'A'Mkoa wa Mjini Magharibi
Unguja,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mpinduzipia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein
(wa tatu kushoto)akitia udongo katika kaburi la Marehemu Abdalla
Mohamed Mshindo aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Pemba
katika mazishi yaliyofanyika leo Kihinani Wilaya ya Magharibi 'A',Mkoa
wa Mjini Magharibi Unguja,[Picha na Ikulu.]
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Issa Haji Ussi (Gavu) akitia udongo katika kaburi
la Marehemu Abdalla Mohamed Mshindo aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa
wa Kusini Pemba katika mazishi yaliyofanyika leo Kihinani Wilaya ya
Magharibi 'A' Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja,[Picha na Ikulu.]
Mwenyekiti wa CCM MKoa wa Kaskazini Unguja Mhe.Haji
Juma Haji akitia udongo katika kaburi la Marehemu Abdalla Mohamed
Mshindo aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Pemba katika
mazishi yaliyofanyika leo Kihinani Wilaya ya Magharibi 'A' Mkoa wa Mjini
Magharibi Unguja,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mpinduzipia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein
na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe,Balozi Sif Ali
Iddi(katikati)pamoja na wananchi na wanaCCM wakiitkiia dua iliyoombwa
baada ya mazishi ya Marehemu Abdalla Mohamed Mshindo aliyekuwa
wenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Pemba yaliyofanyika leo Kihinani Wilaya
ya Magharibi 'A' Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mpinduzipia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein (kushoto) alipokuwa akiwapa pole familia ya Marehemu Abdalla
Mohamed Mshindo aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Pemba
kabla ya mazishi yake yaliyofanyika leo Kihinani Wilaya ya Magharibi'A'
Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja,[Picha na Ikulu.]
Loading...
BLOG RAFIKI
-
-
-
-
-
Jioni1 day ago
-
-
-
-
-
-
Serikali yatoa kauli kuhusu Dbi ya Kariakoo6 months ago
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-









Post a Comment