Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

EFM WAPOKEA WATANGAZAJI WAPYA WALIOKUWA CLOUDS FM

Mkurungenzi wa EFM Radio, Francis Siza ‘DJ Majay’ (kushoto) Paul James (PJ) pamoja na Gerald Hando

 Watangazaji wa zamani wa kipindi cha Power Breakfast cha Clouds Fm, Gerald Hando, Paul James (PJ) pamoja na Abel Onesmo Jumamosi hii wametambulishwa rasmi EFM.

Utambulisho huo umefanyika katika sherehe za shindalo la Shika Ndinga 2016 zilizofanyika Mbagala Zakhiem jiji Dar.

Kupitia ukurasa wa EFM, wameandika:
Utambulisho wa wanafamilia wapya wa @efm_93.7@geraldhando @pjpauljames @abelonesmo #TUNALISONGESHA#huumchezohauhitajihasira


Gerald Hando, Paul James (PJ) pamoja na Abel Onesmo wakitambulishwa
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright 2025 EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG | Designed By Code Nirvana
Back To Top