Mishale ya saa mbili usiku kuelekea saa tatu usiku huu, Majambazi yavamia duka nakuua watu watano akiwemo dereva wa mahakama kuu tanga. Duka lilovamiwa ni maarufu central bakery ni min super market.
Mungu awarehemu wenzetu waliokufa, na tuombe jeshi letu lishike waliohusika na kuwfikisha mbele ya sheria.
on Thursday, April 21, 2016
Post a Comment