Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MALKIA ELIZABETH WA UINGEREZA ATIMIZA MIAKA 90 ... ZIMETOLEWA PICHA ZAKE MPYA ZA LEO

 
Malkia wa Uingereza ametimiza miaka 90, hii leo ambapo zimetolewa picha mbalimbali za malkia huyo akiwa na vitukuu, wajukuu pamoja na watoto wake na wenza wao.
 

 
Picha hizo zenye mvuto zilizopigwa na Mmarekani Annie Leibovitz, moja wapo Malkia yupo na vitukuu vyake huku akiwa amembeba kitukuu chake cha mwisho Princess Charlotte.
Malkia wa Uingereza akiwa na Prince Charles, Prince George aliyeshikwa mkono na baba yake Prince William
   Picha ya pamoja ya wanafamilia ya Kifalme wa Uingereza, hapa anakosekana Prince Harry
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top