DAR ES SALAAM
Ni
simanzi! Nyota ya msanii Leila Gabriel ‘Lissa’ ambayo ndiyo kwanza
ilikuwa imeanza kuchomoza kwenye tasnia ya filamu za Kibongo, ilizimika
ghafla mwishoni mwa wiki iliyopita baada ya msanii huyo kupoteza maisha
muda mfupi baada ya kujifungua kwenye Hospitali ya St. Benard, Kariakoo
jijini Dar es Salaam.
- Filamu alizowahi kucheza?
- Aishiwa nguvu wakati wa kujifungua.
- Aabainika kutokuwa na damu ya kutosha.
- Madaktari washindwa kumfanyia upasuaji
- Bahati nzuri ajifungua salama.
- Apatwa balaa lingine baada ya kujifungua, afariki dunia.
- Mama wa Marehemu afunguka mazito kuhusu kifo cha mwanaye.
- Simulizi ya kifo chake inasikitisha sana!
“Inauma sana, mwanangu amefariki kwa maumivu maana shida ilikuwa ni ambulance, kama ingepatikana kwa wakati naamini angepona lakini ndiyo hivyo tena, kazi ya Mungu haina makosa,” alisema mama huyo kwa uchungu huku akitokwa machozi.



Post a Comment