Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MWILI WA PAPA WEMBA WAWASILI DRC KONGO

Mamia ya watu wamekusanyika leonje ya uwanja wa ndege wa Kinshasa kuupokea mwili wa mwanamuziki Papa Wemba uliowasili nchini humo kutoka Abidjan

Mwanamuziki huyo ambaye ametajwa kuwa mmoja ya waanzilishi wa muziki wa kizazi kipya cha Soukous  alifariki dunia April 24 baada ya kuanguka jukwaani akiwa anatumbuiza huko Ivory Coast  

Papa Wemba anatarajiwa kuzikwa siku ya Jumanne  ya wiki ijayo
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright 2025 EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG | Designed By Code Nirvana