Rais
wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli
akiongoza kikao cha kazi na watendaji wa serikali wakiwemo Waziri wa
Ujenzi, Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi
Eng. John Kijazi, pamoja na ma-Katibu wakuu Wizara ya Mawasiliano
Profesa Faustine Kamuzora, Katibu Mkuu Fedha na Mipango Dkt. Servacius
Likwelile, Naibu Katibu Mkuu Fedha na Mipango Mhe Dottoa James, Gavana
wa Benki Kuu Profesa Benno Ndulu, Kamishna wa Mamlaka ya Mapato Tanzania
Bw. Alphayo Kidata, Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Kamishna Valentino
Mlowola pamoja na uongozzi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) na
watendaji wengine. PICHA NA IKULU
Loading...
Home » Unlabelled » RAIS MAGUFULI AFANYA KIKAO NA WATENDAJI WA WIZARA YA UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO, FEDHA NA MIPANGO, TRA, BENKI KUU, TAKUKURU NA TCRA
BLOG RAFIKI
-
-
Alfajiri5 hours ago
-
-
-
-
-
-
-
-
-
Serikali yatoa kauli kuhusu Dbi ya Kariakoo6 months ago
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-



Post a Comment