Waziri wa Mambo ya Nje,Afrika Mashariki,Kikanda na Ushirikiano wa Kimataifa Dk Augustine Mahiga
Miongoni mwa watakaorudishwa ni wale ambao muda wao wa utumishi ubalozini umemalizika, wakiwamo mabalozi, maofisa wahasibu na makatibu muhtasi.
Tanzania ina balozi 35 za nje ambao kwa ujumla zina watumishi 234.
Post a Comment