Watuhumiwa wa tukio la ubakaji na udhalilishwaji linalodaiwa kufanywa na wanaume wawili dhidi ya mwanamke mmoja, ambaye alipigwa picha na kusambazwa katika mitandao ya kijamii lililotokea Dakawa,Morogoro wakifikishwa katika mahakama ya Hakimu Mfawidhi wa mkoa wa Morogoro kujibu shtaka hilo.
⚖
on Wednesday, May 18, 2016
Post a Comment