May 12 2016 ripoti zilianza kusambaa kwenye mitandao ya kijamii kwa baadhi ya mastaa wa filamu na Muziki nchini, kuhusiana nataarifa ya kufariki kwa mmoja kati ya wachekeshaji maarufu nchini Tanzania, Mohammed Abdallah (Kinyambe) kutoka kwenye maigizo ya Vituko Show.
Upepo Mkali Wahofiwa Kuchochea Zaidi Moto
2 hours ago
Post a Comment