Loading...
MASTAA WA KIBONGO WAACHIA UJUMBE MZITO NA PICHA ZA MAMA ZAO KWENYE MOTHER'S DAY
Jumapili ya May 8, ilikuwa ni siku ya mama duniani na mastaa kibao wa Tanzania waliungana na watu wengine kuwaandikia ujumbe wa shukrani mama zao. Hawa ni baadhi yao:
Vanessa Mdee
Lady, don’t you know I love ya I thank God for my prayer warrior #MothersDay #AsanteBiMkubwa #SeeFineGal #PleaseGodProtectMyMomma #TimelessBeauty #SheAlmostSixty #BlackDontCrackBruh
Irene Uwoya
Sijui niseme nin …nakosa ata neno lakusema ila nakupenda kias ambacho siwez kueleza. ….umenifundisha mengi kwenye hiii dunia na pengine nimekuwa sikusikilizi lakini yote uliokuwa ukinambia yametimia. …. umenivumilia kwa mengi sana nimefanya mengi lakin ukuchoka wala kuacha kunipenda. ..nakumbuka mengi sana ambayo ata kuyaaandika siwez. ..hakika wewe ni mama wa shoka. ..nakupenda jana ….Leo. ..sikuzote na atamilele. ..ur da best mom in the world. ..LOVE UUU MUM
Feza Kessy
Ain’t a woman alive that could take my mama’s place, nor my sisters really hehee Happy Mother’s Day to my Rock/Hero/Friend Rosa. @saidakessy na we pia my one and only sis. I love youuu infinity. – See more at:
Nay wa Mitego
Happy Mother’s Day [heart] !! #AsanteBimkubwa Nakupenda kila siku mama ila Leo ni Siku yenu..!! Unajua ni kiasi gani nimekusumbua kwny malezi yangu ila hujawai nitupa.!! Hakuna Kama Mama. Tupo na Mama etu aka Bibi yetu.!!
Ben Pol
Mama you are the Best!.. Wakati Baba anafungwa gerezani Keko alikuacha na ujauzito wangu (yaani mimi nikiwa tumboni mwako nna miezi 6) na ulikuwa na mtoto mkubwa wa miaka miwili Marehemu #michael #mybrother #Rip , tukiishi kwenye nyumba za kupanga Vingunguti, ulipambana, uliuza maandazi, uliuza vitumbua ilimradi kuhakikisha wanao tunakula vizuri, ulifanikiwa kunizaa mimi salama salmini (Nilizaliwa Nyumbani, si Hospitali) ukanilea nikakua, hapo baadae Baba akaachiwa huru na kunikuta nimeshakuwa “Jibaba” lakini zote ni juhudi zako, nakuombea heri mama yangu, mwenyezi mungu akuweke na akupe furaha kila siku, #SioniAibu .. Naipenda sana hii Stori Yangu, ulinihadithia wewe mwenyewe Mama yangu, wewe ni Soldier!!.. Mungu akubariki na awabariki wamama wote duniani.. sparkling_heart , tuseme Amen wote pray!
B12
To my Forever Friend, Nakupenda Sana! Sina cha kukulipa zaidi nakushukuru! Happy Mother’s Day to you Mama na wakina mama wote All over the World #AsanteBiMkubwa
Master J
You held my hand for a short while, but my heart forever. Throughout my life you’re always near to guide my way. Nakupenda sana mama, happy mother’s day. heartheart
Zari the Bosslady
It’s unexplainable. You have to go through it, To experience it, To understand it. HAPPY MOTHER’S DAY
Diamond kwa Zari
very Special Mother’s day to this Beautiful and Humble soul of Mine @zarithebosslady … i wish you can understand how much i love you, Mpaka natiwa Dripu [disappointed_relieved] ….wenyewe wanasema kuzaa sio tija, ila kumpata Mwanamke akajua kumlea mtoto wako Vyema ndio kazi inakuwaga hapo… Shukran sana kwa zawadi hii kubwa ya Mtoto mzuri na kuendelea kumlea vizuri….. sjui na lile jipu pia Ntumbue [smiley] …. aaagh! Anyway’z [stuck_out_tongue_closed_eyes] [raising_hand] tutakutana Mbeleni
Diamond kwa mama yake
Malezi na Misingi Bora uliyonipa ndio iliyonifanya hadi leo nifikie hapa…. jus wanted to tell you that i Love you So Much Mom, na shukuru kwa kunizaa na Kuniongoza vyema kila kikicha Mwanao… Wish you na Wamama wote Duniani Happy Mother’s day, Maisha maref yenye Afya na Furaha tele….. vilevile Mwenyezi Mungu Awasameh Makosa yao na kuzilaza Roho za wamama wote waliotangulia Mbele ya haki Pema Peponi Amin
Queen Darleen
My Maaaa MycrownQueen #NakuPendaMaMa D #HappyMothersday heartheart
Millen Magese
Happy Mother’s Day to my beautiful Mama ….. #IfIstartToTalk I won’t finish . I love you so much mama and will always be there for you kissing_heartkissing_heartkissing_heartkissing_heartkissing_heart cc @robert_magese @dadival_ @gracemagese @andrewmagese
Izzo Bizness
Leo ni siku ya MAMA duniani hivyo mimi nimewaandalia zawadi wakina mama wote duniani na utapata kuiona hapa muda si mrefu zawadi yangu kwao #MAMANIMAMA
Aunty Ezekiel
Happy Mother’s Day ….I mic u Mama
Young Killer
#NAKUPENDA SANA : #BI_MKUBWA:( na pia nawatakia #happy_mothers_day #Wakina mama wote_dunian. ROHO ZANGU prayskin-tone-2 Cc @miss_hip_hop @miss_hip_hop # #asantebimkubwa
Lulu
Inakuwaga ngumu sana kukuongelea Kwa machache..! Kikubwa namshukuru MUNGU kwaajili yako…wewe ndo mwanamke nyuma ya mafanikio yangu Na ujasiri Wangu…umenitengeneza Na kunifanya niwe nilivyo Naweza kuyakabili magumu Na maumivu kwasababu nimekua nikikuona ukipitia mengi,magumu Na yakuumiza lkn ulisimama katika yote bila kukata tamaa Na mwisho WA yote umekuwa mshindi ktk kila lililoonekana Kama jaribu kwako..!
Kupitia wewe nimejifunza kuwa MAMA Sio kitendo cha kuleta mtoto duniani Tu But being a mother is a Package….kuwa MAMA Ni kuyajua majukumu,kuyakubali Na kuyakabili,Kuwa MAMA Ni kusimama Na kutetea damu yako ikiwezekana Hata Kwa kupoteza heshma Na Hata uhai wako,Kuwa MAMA Ni kulea kuanzia Kimwili,Kiroho,Kiakili,Kimienendo Na mengine mengi Kwa maongozo yako Ninaamini Nitakuja Kuwa Mama Mzuri sana Kwa watoto wangu,Kwa familia yangu Na Kwa watu wote walionizunguka Kwa ujumla Baraka,Neema,Mafanikio,Kibali Na Kila lililojema viendelee kukufata katika maisha yako MAMA…NAKUPENDA Happy mothers Day……….!!!!heartheartheart
P-Funk
Quick Rocka
Diva
Leo ni siku ya Mama Duniani, Mwenyezi Mungu awarehemu Mama zote waliotangalia Mbele za Haki, Mie sijawah kuwa na Malezi ya Mama Mzazi, at all … so sababu main Point ni Mama mzazi basi sina la kuongea. ila mnaoachiwa watoto wazazi wao wanapotangulia Mbele za haki Jaman Muwapende Muwalee vizuri msiwanyanyase .. been torchered alot wakati nakuwa.. yaan nilikuwa nalia sana. Maneno na Masimango yalikuwa Mengi lakini sababu ‘ I am Loveness sikuacha Kuwa na Upendo ‘ Bibi yangu alisema ‘ Upendo Jaman upendo ni Kitu Bora , Mtu asiekuwa na upendo daima hana Furaha. Nisingekuwa na amani na imani ningepoteza muelekeo wa maisha at the young age ..
But niliendelea kuwa a good girl na all i ever wanted ni kuwa na Maisha yangu Mwenyewe .. nilikuwa na wenye upendo pia walinizunguka wakanilea vyemaa Binti Malkia .. My Dad .. have the best daddy in the world wallah nampenda sana .. ali make sure naenda shule , naenda shopping, naishi maisha ya furaha .. he loves me , jana , leo and ata kesho .. akanipa all the happiness in the world, amenipa all the love. nikatabasamu tena.
Mzee Malinzi yaan lov you Daddyyyy loads , lov u Bunchhh, My one and only papiiii … God is Good I am alive i have my own life , sitajuta na nashukuru kwa kulelewa hivyo ambayo nilililelewa .. imeni shape to be a better person. lovely person indeed, i have a big heart, heart of an Angel … das y sipendi na nachukia manyanyaso ya aina yoyote ile. Ila sitahesabu Makosa .. Ujumbe wako kwako Mama … i wish to see you. I do love You … everything imetokea for a reason Mungu ana sababu zake .. Nakutakia Upumzike kwa amani… Mama zanguuuu woteee Nawapenda sana !.
Nawatakia siku Njema ya Mama duniani. tuna imani ya Maisha baada ya Kifo .. then ama see you Mommy!. Ama tel you all about it when i see you again. Mama I made it
Baby Madaha
My mommy..my heroine aki sijui nikupe nini …you made me beautiful even more than you(joking)hahahaaa,incredible sacrifice…you were such a smart girl in choosing those perfect genes..imma waiting for my son thou..nah daughterjoyjoy
Roma
#MamaAkeRoma, Basi Bana Kuna siku nilichelewa kurudi nyumbani! dingi akanikata stick nyingi sana akaniambia hakuna kula mchana!mtembezi hula miguu yake!! afu mama ndio alikua anaepua maharage jikoni na kitu cha wali kilikua tayari chini kinanukia hatari!!haya bna nikaenda kulala kwa huzuni kubwaaa sana huku tumbo likinguruma kwa njaa!!watu wakala wakamaliza mk nikajipitisha ili hata mzee anionee huruma nile lakini wap!!Nikashangaa mama ananiita kwa Hasira,We kuja hapa Pumbavu wewe Chukua hyo ndoo hapo uende ukachote maji!!nikazidi kuumia kuona mama nae ananipa kazi na njaa yote ile!!basi nikasepa kinyonge nikiwa njiani nikahisi kwenye ndoo kuna kitu kufungua hivi nakutana na bakuli kubwa limejaa Waliiiiii na Maharage!! kwanza nililiasob kidogo kwa furahajoy_cat then nikaula fasta!! #HappyMamas #NakupendaMamaRoma
Kala Jeremiah
Post a Comment