Mti huu unapatikana katika ukanda wa Himalaya, inasemekana mti huu unaota kwa kupishana kwa
kipindi cha miaka 20. Mti huu unatoa maua yenye sura kama mwanamke aliye uchi.
Mti huu unaitwa Narilatha kwa kihindi ikiwa na maana maua katika sura ya mwanamke.
Pia unajulikana kwa jina la Liyathabara Mala katika mitaa ya Srilanka. Mti huu pia unapatikana nchini Thailand ukiitwa Nareepol.
Mti hii inaota sehemu zenye miteremko huko Himalaya na inaeleweka kwamba kila baada ya miaka 20 ndio mti unazaa maua yenye sura za mwanamke.
Hadi sasa haijafahamika kuota kwa aina hii ya mti ina maana gani au imebeba fumbo gani kwa binadamu
Loading...
Post a Comment