LEO NI SIKU YA KIPEKEE NA YA KIHISTORIA KWA MDAU MKUBWA SANA WA NDGSHILATU BLOG AMBAYE ALIKUWA "FOLLOWER" WA KWANZA KABISA WA BLOG HII WAKATI INAANZISHWA HASHIMU MAPENGO a.k.a MP JUNIOR AMBAYE LEO HII NI SIKU YAKE YA KUZALIWA .
BLOG HII ILIWASILIANA NAE NA AKAMSHUKURU SANA MWENYEZI MUNGU KWA KUMWEZESHA KUSHEHEREKEA SIKU YAKE AKIWA MZIMA WA AFYA TELE NA PIA KUWATAKIA WATU WOTE RAMADHANI NJEMA.
"NAMSHUKURU SANA MUNGU KWA KUNIJALIA UZIMA NA AFYA TELE KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YANGU YA KUZALIWA. SHUKRANI KWA WOTE WALIOCHANGIA KUFIKA HAPA NILIPONILIPO NA NINAWATAKIA MFUNGO MWEMA WA RAMADHANI." ALISEMA MAPENGO
TUNAMTAKIA AFYA NJEMA NA MAISHA MAREFU MDAU WETU MP JUNIOR
UTAWALA NDGSHILATU BLOG
2 comments
Thanks ndgshilatu.blogspot.com kwa kunikumbuka kipekee kabisa...pia nakutaia maisha marefu brother
ReplyThanks ndgshilatu.blogspot.com kwa kunikumbuka kipekee kabisa...pia nakutaia maisha marefu brother
ReplyPost a Comment