Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MANJI ACHUKUA TENA FOMU ZA KUGOMBEA YANGA KWA MBWEMBWE ... AHIDI MAMBO MATATU

Siku moja baada ya katibu mkuu waYanga Baraka Deusdedit na afisa habari wa Yanga Jerry Muro kutangaza kuwa uchaguzi wao utasimamiwa na wao wenyewe na sio shirikisho la sokaTanzania TFF kama ilivyokuwa imetangazwa na baraza la michezo, mwenyekiti wa klabu hiyo Yusuph Manjileo aliongea na waandishi wa habari.
Football Soccer - Bayer Leverkusen v Borussia Moenchengladbach - German Bundesliga - BayArena , Leverkusen, 12/12/15 Bayer Leverkusen's Javier Hernandez celebrates 5-0 victory against Borussia Moenchengladbach.REUTERS/Ina Fassbender DFL RULES TO LIMIT THE ONLINE USAGE DURING MATCH TIME TO 15 PICTURES PER GAME. IMAGE SEQUENCES TO SIMULATE VIDEO IS NOT ALLOWED AT ANY TIME. FOR FURTHER QUERIES PLEASE CONTACT DFL DIRECTLY AT + 49 69 650050
Yusuph Manji akiwa na makamu mwenyekiti wake Clement Sanga
Manji amechukua fomu ya kugombea nafasi ya uenyekiti wa klabu hiyo kwa awamu nyingine tena na kutangaza mambo matatu, moja kutoa sauti inayothibitisha kuwa TFF na baadhi ya watu wanahujumu uchaguzi wa Yanga, mbili kasimamisha uanachama wa wanachana waliosikika kwenye audio clip inayosadikiwa kuwa ya kupanga hujuma na wale waliochukua fomu TFF.
Football Soccer - Bayer Leverkusen v Borussia Moenchengladbach - German Bundesliga - BayArena , Leverkusen, 12/12/15 Bayer Leverkusen's Javier Hernandez celebrates 5-0 victory against Borussia Moenchengladbach.REUTERS/Ina Fassbender DFL RULES TO LIMIT THE ONLINE USAGE DURING MATCH TIME TO 15 PICTURES PER GAME. IMAGE SEQUENCES TO SIMULATE VIDEO IS NOT ALLOWED AT ANY TIME. FOR FURTHER QUERIES PLEASE CONTACT DFL DIRECTLY AT + 49 69 650050
Baada ya Manji kufanya hivyo alimaliza kwa kumuagiza mkuu wa idara ya habari wa Yanga Jerry Muro kuandika barua kwa Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa TAKUKURU na kuomba ufanyike uchunguzi kuhusu hujuma za uchaguzi wa Yanga ambao TFF wanadai kuwa wataratibu wao lakini Yangahawakubaliani na hilo.
Football Soccer - Bayer Leverkusen v Borussia Moenchengladbach - German Bundesliga - BayArena , Leverkusen, 12/12/15 Bayer Leverkusen's Javier Hernandez celebrates 5-0 victory against Borussia Moenchengladbach.REUTERS/Ina Fassbender DFL RULES TO LIMIT THE ONLINE USAGE DURING MATCH TIME TO 15 PICTURES PER GAME. IMAGE SEQUENCES TO SIMULATE VIDEO IS NOT ALLOWED AT ANY TIME. FOR FURTHER QUERIES PLEASE CONTACT DFL DIRECTLY AT + 49 69 650050
Ayo
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top