Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MATUKIO YA RAIS MAGUFULI JANA YALIVYOJILI

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na aliyekuwa Makamu wa Rais na Mchumi Mkuu wa Benki ya Dunia Profesa Justin Yifu Lin aliyemtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo Juni 22, 2016.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiwa katika mazungumzo na aliyekuwa Makamu wa Rais na Mchumi Mkuu wa Benki ya Dunia Profesa Justin Yifu Lin aliyemtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo Juni 22, 2016. Kushoto ni Balozi wa China nchini Dkt. Dkt. LU Younqing.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiagana  na Balozo wa China nchini Dkt Lu Younqing baada ya kuwa na mazungumzo na aliyekuwa Makamu wa Rais na Mchumi Mkuu wa Benki ya Dunia Profesa Justin Yifu Lin aliyemtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo Juni 22, 2016. Kushoto ni Katibu Mkuu Wizarta ya Viwanda na Biashara Dkt. Adelhem James Meru na Kulia ni Mkurugenzi Idara ya Asia katika Wizara ya Mambo ya Nje Bw. Mbelwa kairuki.




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na katibu Mkuu Wizara ya fedha na Mipango Dkt Servacius Likwelile alipowasili kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya benki kuu ya Tanzania kwenye ukumbi wa BOT jijini Dar es salaam leo Juni 22, 2016.





Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisimama kwa ukakamavu wakati wimbo wa Taifa ukipigwa akiwa na  Mkuu Wizara ya fedha na Mipango Dkt Servacius Likwelile, Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Profesa Benno Ndullu, na Mkuu wa Mkoa wa Dar e3s salaam Mhe Paul Makonda  kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya benki kuu ya Tanzania kwenye ukumbi wa BOT jijini Dar es salaam leo Juni 22, 2016








Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akihutubia wakati wa  maadhimisho ya miaka 50 ya benki kuu ya Tanzania kwenye ukumbi wa BOT jijini Dar es salaam leo Juni 22, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akihutubia wakati wa  maadhimisho ya miaka 50 ya benki kuu ya Tanzania kwenye ukumbi wa BOT jijini Dar es salaam leo Juni 22, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akihutubia wakati wa  maadhimisho ya miaka 50 ya benki kuu ya Tanzania kwenye ukumbi wa BOT jijini Dar es salaam leo Juni 22, 2016
Sehemu ya waliohudhuria sherehe hizo
Sehemu ya waliohudhuria sherehe hizo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akibofya kitufe kuashiria uzinduzi rasmi wa  maadhimisho ya miaka 50 ya benki kuu ya Tanzania kwenye ukumbi wa BOT jijini Dar es salaam leo Juni 22, 2016.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akizindua sarafu maalumu ya shilingi 50,000/- kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya benki kuu ya Tanzania kwenye ukumbi wa BOT jijini Dar es salaam leo Juni 22, 2016. Kushoto ni Ktibu Mkuu wa Wizara ya Fedha ya Zanzibar Mhe Khamis Mussa Omar na kulia ni Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania Profesa Benno Ndullu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akizindua Kitabu kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya benki kuu ya Tanzania kwenye ukumbi wa BOT jijini Dar es salaam leo Juni 22, 2016.
Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akipokea mfano wa hundi ya bilioni 4 kutoka kwa gavana wa Benki Kuu ya Tanzania Profesa Benno Ndullu akishuhudiwa na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Dkt Servacius Likwelile (kulia) , Katibu Mkuu Wizara ya Fedha ya Zanzibar Khamis Mussa Omar (wa pili kushoto), Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Paul Makonda (kushoto) na Profesa Paul Collier (watatu kushoto), mwandishi wa kitabu cha "Tanzania: The path to prosperity" kilichozinduliwa na Rais leo.







Bendi ya BoT ikiwa tayari kutumbuiza

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiwa na Magavana na Manaibu Magavana wa nchi mbaimbali kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya benki kuu ya Tanzania kwenye ukumbi wa BOT jijini Dar es salaam leo Juni 22, 2016.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiwa na Bodi ya wakurugenzi wa BOT kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya benki kuu ya Tanzania kwenye ukumbi wa BOT jijini Dar es salaam leo Juni 22, 2016.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli kiwa katika picha ya pamoja na wanakikundi cha Bendi ya BOT  kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya benki kuu ya Tanzania kwenye ukumbi wa BOT jijini Dar es salaam leo Juni 22, 2016.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top