Awamu ya pili ya ujenzi wa mradi wa mabasi yaendayo haraka unatarajia kuanza mwaka ujao wa fedha.
Mradi huo utafadhiliwa na Benki ya Maendeleo ya Afrika (ADB) na utahusu Barabara ya Kilwa kupitia Mbagala wilayani Temeke, Dar es Salaam.
Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Kaimu Mtendaji Mkuu wa Dart, Ronald Lwakatare kulingana na Sensa ya Makazi na Watu 2012, Temeke kabla ya kugawanywa na Kigamboni, ilikuwa na eneo la kilomita mraba 656 na watu 1,368,881.
Loading...
Post a Comment