FUATA MAELEZO HAYA
1-nenda katika profile yako ya facebook
2-binya CTRL na herufi U yani CTRL+U kisha chagua au right click mouse yako kisha chagua ” View Page Source ”
3-kisha binya CTRL na F yani CTRL+F kisha kitatokea kibox kidogo ndani ya kibox hicho andika maneno haya ordered_list.top_friends.
kama hivi
baada ya hapo utaona profile id za watu wote kama ionekanavyokatika picha hii
hizo namba ambazo ziko katika vifungo ndo profile za watu hao pasipo majina yao sasa jinsi ya kuona profile za waliotembelea na kukutizama facebook ni hivi.. mimi nitachagua profile ambayo nimeichorea rangi ya blue ambayoni 100000617054353..
nenda kwenye adress bar. kisha type https://www.facebook.com/100000617054353
Post a Comment