HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA LEO IMEMPITISHA KWA KURA ZOTE RAIS MAGUFULI KUWA MGOMBEA PEKEE WA UENYEKITI KATIKA MKUTANO MKUU WA CCM TAIFA TAREHE 23.07.2016 KATIKA UKUMBI WA WHITE HOUSE MJINI DODOMA. KIKAO HIKI KILIONGOZWA NA MWENYEKITI ANAYEMALIZA MUDA WAKE DKT KIKWETE.
on Friday, July 22, 2016
Post a Comment