Waziri wa Elimu nchini Tanzania Pof.Joyce Lazaro Ndalichako atoa msimamo wa Serikali juu ya wanafunzi waliofukuzwa chuo kikuu cha Dodoma, leo jijini Dar es Salaam, ambapo amesema kuwa kati ya wanafunzi zaidi ya elfu saba waliokuwa wamedahiliwa na kuanza chuo kikuu dodoma ni wanafunzi 382 tu ndio wenye sifa ya kurudi chuoni.
on Tuesday, July 19, 2016
Post a Comment