Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rajab Luhwavi akimkaribisha Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakata Kikwete alipowasili leo kukagua hali ya ukumbi wa mikutano wa Dodoma Convetion, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya mkutano mkuu maalum wa CCM utakaofanyika Julai 23, 2016. Kwa lengo la kumkabidhi kijiti cha Uenyekiti wa CCM, Rais wa awamu ya Tano Rais Dk. John Magufuli.
Mwenyekiti wa CCM, Dk. Jakaya Kikwete akiingia kwenye ukumbi wa Ddoma Convetion, alipofika kukagua ukumbi huo leo, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Mkutano Mkuu Maalum wa CCM, utakaofanyika Julai 23, 2016. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rajab Luhwavi na watatu ni Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana.
Mwenyekiti wa CCM, Dk. Jakaya Kikwete akijaribu vinasa sauti alipokagua ukumbi huo
Mwenyekiti wa CCM Dk. Jakaya Kikwete akitoa maelekezo alipokagua ukumbi huo
Mwenyekiti wa CCM Dk. Jakaya Kikwete akitoa maelekezo alipokagua ukumbi huo
Mwenyekiti wa CCM Dk. Jakaya Kikwete akitoa maelekezo alipokagua ukumbi huo
Mwenyekiti wa CCM Dk. Jakaya Kikwete akitoa maelekezo alipokagua ukumbi huo.
Loading...
BLOG RAFIKI
-
-
-
-
-
THBUB YACHUNGUZA MAUAJI YA KIUNGONI, PEMBA9 hours ago
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
Post a Comment