Loading...
Home » Unlabelled » TETESI MPYAA ... MBUNGE CCM, HALIMA BULEMBO ADAIWA KUFUNGA NDOA NA ZITTO KABWE KIMYA KIMYA.... HALIMA AELEZEA NDOA HIYO
TETESI MPYAA ... MBUNGE CCM, HALIMA BULEMBO ADAIWA KUFUNGA NDOA NA ZITTO KABWE KIMYA KIMYA.... HALIMA AELEZEA NDOA HIYO
TAARIFA ya Halima Bulembo
Kuna picha inasambazwa ikiambatana na maelezo kwamba eti nimefunga ndoa ya siri na Zitto Kabwe tarehe 11 July mwaka huu. Ili iwe nini? Watu wanapenda sana umbea. Kweli akutukanaye hakuchagulii tusi.
Naomba kuwataarifu ndugu, jamaa, marafiki, wanachamana viongozi wenzangu wa CCM na watanzania wote kwa ujumla kwamba mimi HALIMA BULEMBO sijafunga ndoa ya aina yeyote na mtu yeyote yule. Nitaolewa Inshaallah.
NB: Nampongeza sana Alietengeneza Picha yangu,Ningeshauri atengeneze na ya huyo mume ili story yake ikamilike vizuri.
HALIMA BULEMBO,
Mbunge wa Viti Maalum - CCM.
19, Julai, 2016.
Post a Comment