Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo ametangaza kusitishwa kwa maandamano ya Oparesheni UKUTAyaliyokuwa yamepangwa kufanyika kesho nchi nzima.
Mbowe ametoa kauli hiyo ya kuahirisha maandamano mchana huu wakatiakiongea na vyombo mbalimbali vya habari.
Amesema sababu kubwa za kuahirisha maandamano hayo ni busara za viongozi wa dini ambao wameiomba Chadema iwape muda wa kutafuta Suluhu
Mbowe amesema maandamano hayo yameahirishwa hadi Oktoba Mosi
Msikilize hapo chini akiongea
Post a Comment