Loading...
Home » Unlabelled » BREAKING NEWS... MANJI AKABIDHIWA RASMI YANGA... ASEMA HASARA ITAKUWA YAKE, YANGA WATAPATA 25% YA FAIDA
BREAKING NEWS... MANJI AKABIDHIWA RASMI YANGA... ASEMA HASARA ITAKUWA YAKE, YANGA WATAPATA 25% YA FAIDA
“Nasikia wanasema ndiye tajiri namba moja Tanzania, ametoa Sh milioni mia kuisaidia klabu kisha anaonekana Mtanzania mwema, Hali ambayo imenishangaza sana kwa kuwa mimi kusaidia Yanga tena kwa gharama ya juu ni jambo la kawaida kabisa."alisema Manji na kushangiliwa na umati wa wanachama wa Yanga SC.
Manji amekabidhiwa rasmi Yanga mchana wa leo kwa muda wa miaka 10, ambapo kila kitu atasimamia yeye ikiwemo ujenzi wa uwanja, kuisimamia nembo kibiashara pamoja na mafanikio ya timu uwanjani!
BLOG RAFIKI
-
-
-
Kwa Undani2 hours ago
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
Post a Comment