Loading...
BREAKING NEWS.... MBOWE AMFUATA SPIKA NDUGAI NYUMBANI KWAKE
Kiongozi wa Upinzani Bungeni na Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mhe. Freeman Mbowe leo Jumatano 03/08/2016 amemtembelea Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Yustino Ndugai nyumbani kwake Salasala jijini Dar es salaam, ambae amerejea hivi karibuni kutoka nchini India ambako alikwenda kwa ajili ya uchunguzi wa afya yake.
BLOG RAFIKI
-
-
Jioni4 hours ago
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
Post a Comment