Loading...
BREAKING NEWS .... MWANAMUZIKI MZEE YUSUPH ATANGAZA KUACHA MUZIKI
Msanii wa muziki wa Taarab, Mzee Yusuph ametangaza kuachana na sanaa ya muziki.
- Atangaza kumrudia Mungu akiwa msikitini, alia kwa uchungu huku akijuta aliyokuwa akiyafanya awali.
Hakuishia hapo tu...Pia amewaomba watanzania wote na wapenzi wake wa muziki wake waache mara moja kupiga nyimbo zake...Pia ameviomba vyombo vyote vya habari kama Redio na Tv's kuacha kupiga nyimbo zake kwani kufanya hivyo itakuwa ni dhambi kwao kwani yeye tayari amejitoa ktk dhambi hiyo.
Post a Comment