Kikao cha viongoz wa matawi wa klab ya Yanga imemsimamisha katibu wa baraza la wazee wa klab hyo Mzee Yahya Akilimal
AKILIMALI AFUNGUKA MUDA HUU TATIZO LAKE NA YUSUFU MANJI...
" Sijamtusi mwenyekiti wangu kwa kusema amekurupuka . Neno hilo ni la kawaida wala sikuwa na dhamira ya kumtusi mwenyekiti wangu , nawaomba radhi wana yanga kwa kauli zangu . Mie naomba tuwe na umoja tatizo letu na mwenyekiti ni kushindwa kutuita wazee kwenye mpango wake wa kuichukua timu . Sisi tunampenda na kumuhitaji sana Yusufu lakini tunahitaji aendeleze mfumo wa zamani alioanza nao wa kujali na kuthamini wazee ili nasi tujisikie vizuri na klabu yetu. Nasisitiza sina chuki na Manji maana kwa mdomo wangu huu nimeshiriki sana kumuweka madarakani mpaka pale umma wa watanzania wakasema tumevunja katiba . Ninachotaka alitambue baraza la wazee na sisi tukae nae tuzungumze mstakabali wa klabu yetu"
Mzee Akilimali Yahya.
Loading...
Home » Unlabelled » BREAKING NEWS .... MZEE AKILIMALI WA YANGA ASIMAMISHWA ... AOMBA RADHI , AFUNGUKA MAZITO
BLOG RAFIKI
-
-
Jioni3 hours ago
-
-
-
-
RUZUKU YA NISHATI SAFI KUWANUFAISHA WANANCHI7 hours ago
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
Post a Comment