Loading...
Home » Unlabelled » BREAKING NEWS... UHAKIKI WA VYETI WAWAIBUA RAIA WAWILI WA KIGENI WAKIFANYA KAZI SERIKALINI
BREAKING NEWS... UHAKIKI WA VYETI WAWAIBUA RAIA WAWILI WA KIGENI WAKIFANYA KAZI SERIKALINI
Raia wawili wa kigeni, Bw Bahilanya Milingita(kushoto) na Dk Esther Green Simon Mwenitumba, wamebambwa kwa makosa ya kuishi na kufanya kazi serikalini, kinyume cha sheria za Uhamiaji nchini.
Wamekamatwa na Idara ya Uhamiaji mkoa wa Dar es Salaam na wanatarajiwa kufikishwa kortini wakati wowote.
Bw Milingita ni raia wa Kongo DRC, amekutwa akifanyakazi TANESCO.Dk Mwenitumba amebambwa akiwa Mganga Mkuu Kituo cha Afya Mburahati.
Amin amin naambia hili zoezi la vyeti litasaidia sana kuwabamba mapandikizi wengi kutoka nchi jirani.Anayebisha anyoshe mkono juu ajipange ahesabiwe kule ukutani
Post a Comment