Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MKE WA KIGOGO CHADEMA APINGA OPERESHENI UKUTA



Joyce Kiria akiwa na mumewe Kilewo

Maneno ya Joyce kiria aliyoyaandika mitandaoni:

Nimeshamuomba sana shemeji yenu asome alama za nyakati jamani..Mkuu wa Kaya wa sasa kwa kweli hapanaaaaa wasimshike sharubu pls.... Hii UKUTA uuuuuwiiii😭😭😭😭😭 nimemwomba jamani waipige chini watafute njia nyingine ya kumaliza migogoro ya kisiasa 😭😭😭😭
.
.
Kinamama wenzangu Hasa WAKE wa hawa wanaUKUTA pls tuwashauri waume zetu jamani😢😢 tusisubiri mambo yaharibike kisha ndo tuanze kulia wakati tunaweza kuwazuia wasifanye jazba jamaniii... Hats kwenye nyumba hamuwezi wote kuwa wababe jamani😢 lazima mmoja awe chini jamaniii😭😭😭😭...
.
.
 Kiukweli wamefanya kazi kubwa nzuri katika Taifa hili na mbinu zao zilifanikiwa sana kwa serikali iliyopita kwa sababu Dady alikuwa hana neno mkwere wa watu, anawachekea na kuwapa nafasi ya kuwasikiliza na juice wanapewa, lakini sasaivi uuuuuuwiiiii wapunguze spidi na wasome sana mchezo, HUU MCHEZO HAUHITAJI HASIRA huyu BABA hacheki jamaniiiii😭😭😭😭😭😭.. Wasimjaribu jamaniiiii😭😭😭😭😭
.
.
Yaani kiukweli nampenda sana Kilewo wangu, nimemwambia UJANE wa kulazimishana siutaki kabisa jamani😭😭😭😭😭 eti uniachie hawa kina Lincon na Linston peke yangu mapema yote hii, Lisa UKUTA jamani😭😭😭??? Tuwaombee sana sana, yaani Mungu aingilie kati yamani, na tusiache kabisa kuwashauri waachane na UKUTA watatue haya mambo mezani bila kutumia nguvu kubwa .... Nafasi bado IPO naamini....
.
.
Mambo yakiharibika jamani Wanawake na Watoto itakula kwetu zaidi😭😭😭😭😭😭 😭😭😭😭😭😭
Download Our App

1 comments:

Wambie mama mtateseka kweli sana

Reply

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top