Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kenneth Kaunda jijini Lusaka mchana huu tayari wa kumwakilisha Rais Dkt John Pombe Magufuli kwenye sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Sita wa Zambia Mhe Lungu uwanja wa Mashujaa kesho Septemba 14, 2016
Post a Comment