Loading...
PROF.KITILA MKUMBO "AMVAA" TUNDU LISSU
Tundu Lissu: baada nilishalala lakini maandishi hayaozi. Nimekusoma.
Those are simply usual innuendos from a usual and expected you. You did not address any of my major arguments. As usual, ukaishia kutukana na kutoa hogwash allegations kwamba tulipewa hela na CCM ili tugawe kura za ukawa. Sounds familiar evil-intentioned allegation. Unachosahau ni kwamba nyie haohao mliimba miezi mingi kwamba tulipewa hela na Lowassa ili tuanzishe Chama chake na kwamba angegombea kwenye Chama hicho. Alipowafuata mkanywea na kumeza fedheha. Wewe ni mwanasiasa uliyebarikiwa kutokuwa na mshipa wa aibu. Unabahati pia upo katika Jamii ambayo political morals ni kama hazipo. Ndiyo maana akina Chenge hadi leo wanaendelea kutamba.
Kuhusu uimara au udhaifu wa CUF. Utafanikiwa kuwadanganya wana CUF wajinga tu kwamba kura na wabunge waliopata ni kazi ya miezi miwili baada ya Lipumba kuondoka na malaika Lowassa kuingia ukawa. CUF werevu hutawapata na wapo wengi na Ndiyo maana wenzako wanafanyia vikao Vuga. CUF werevu wanajua kwamba walifanya kazi miaka mitano kuvuna walichokivuna. CUF werevu wanajua mlituma watu wenu wachukue fomu hata Katika majimbo mliyokubaliana kuachiana. CUF werevu wanajua kwamba mlimwambia Anatropia kamwe asitoe jina lake huku Segerea na ndiyo maana mkamzawadia ubunge wa Viti maalumu. Endeleeni kuwadanganya CUF wajinga lakini CUF werevu wapo tele!
Post a Comment